Bibilia kwa wana ni kwa lengo ja wana wankebe kumtaila Yesu kwa kusambaza shimweezi za michoro kuzinkia tovuti simu/vishikwambi,vitini,na vitabu vya rangi kwa lugha mbali mbali wazedaha kuonga wana.
Shimweezi izi za Bibilia nezisambazwe kwa wana webua 1.8 bilioni ulimwengu mgima bue kabisa.